TFDA ilitoa taarifa kwamba mafta ya ubuyu hayafai kwa matumizi ya
binadamu kwa sababu yana kiwango kikubwa cha tindikali ya mafuta aina ya
Cyclopropenoic fatty acids.Pia ilisema ili yaweze kukidhi vigezo vya
ubora na usalama ni lazima yafanyiwe usafishaji wakati wa usindikaji na
kwa sasa nchini hakuna aina ya usindikaji huo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni